Viwanja Vinauzwa Mbagalambande Mipeko
TZS 1,800,000.00
Dar Es Salaam
06-03-2023
23 Views
Contact Seller
This account has average rating
K
Kulwa Mwichande
Joined Mon Jan 02 2023
2.71
Details
Price
TSH 1,800,000
Size
300 sqm
Description
Viwanja vipo kilomita4 ukitokea mbande mwisho,Kwa pkpk TSH 1500/.Bei ya kiwanja kuanzia mln 1,800,000/Kwa kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba(sqm300).Bei ya sqm TSH 6000/Uzuri wa viwanja hivi vimepimwa vipo kimpangilio,barabara zake zimechongwa zinapitika muda wote.Uzuri wa viwanja hivi,mteja unaweza ukalipia Kwa awamu awamu,mfano unalipia nusu ya Bei ya kiwanja inayobaki utaendelea kulipia kidogokidogo ndani ya miezi 4. Miundombinu kama maji, Umeme, shule hosipitali na Nyumba za ibada zipo jirani na viwanja vyetu. Kwa maelezo zaidi Tupigie/whatsap Au unaweza fika Ofisini kwetu iliyopo kigamboni kibada jirani na stend ya mwasonga.Discover More
Explore offers from related items, similar categories and featured sellers.
Want to see more?
Explore offers from similar categories.