TVS King Bajaj kwa Mauzo, Namba C
TZS 4,000,000
Kinyerezi
25-12-2025
126,397 Views
Contact Seller
This account has average rating
H
Hamza Shafii
Joined Wed Dec 24 2025
2.12
Details
Make
TVS King
Condition
Used
Color
Black
Registration Plate
GPF (Number G)
Location
Dar es Salaam
Tires
New
Description
TANGAZO LA MAUZO: BAJAJI TVS KING (NAMBA C) BEI: TSh 4,000,000 (Milioni 4) Unatafuta chombo cha kazi kilicho imara na tayari kuingia barabarani? Nauza bajaji yangu TVS King kwa bei ya ofa kabisa. Sifa za Bajaji: Namba: MC 395 GPF (Namba C - Imetumika kidogo) Hali ya Chombo: Ni safi sana, body haina mikwaruzo mikubwa na injini inapiga kazi vizuri. Matairi: Ina matairi mapya kabisa (Huna haja ya kubadilisha). Bima: Ina bima tayari (Inakata gharama zako za kuanza). Matumizi: Imekuwa ikitumika kwa kazi ya Bolt, imetunzwa kwa umakini mkubwa. Mahali: Dar es Salaam. Sababu ya Kuuza: Nahitaji mtaji wa mradi mwingine. Njoo na fundi wako aikague, hutajuta! Chombo kipo tayari kwa kazi.Discover More
Explore offers from related items, similar categories and featured sellers.
Want to see more?
Explore offers from similar categories.