LG Wing 5G (256GB/8GB RAM) - Swivel Screen
TZS 0
Likoma/Aggrey Substation
2d
955 Views
Contact Seller
This account has average rating
M
MUDY TECH
Joined Tue Jun 02 2026
1.82
Details
Brand
LG
Model
Wing 5G
Storage Capacity
256
RAM Size
8
Condition
Used - Like New
Main Camera Resolution
64
Included Accessories
Full Box
Region
Dar es Salaam
District
Ilala
Description
LG Wing, toleo la kipekee kabisa kutoka kwa kampuni ya LG. Hii siyo simu ya kawaida; ni simu ya kijanja inayobadilika na kuwa na vioo viwili (Swivel Screen) kwa ajili ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Maelezo ya Simu: Model: LG Wing 5G Storage: Gb 256 / Ram Gb 8 Hali: Ipo kwenye hali nzuri sana (Full Box na kila kitu chake). Kamera: Kamera tatu za nyuma (64MP) na kamera ya mbele ya mtindo wa Pop-up (haijai kwenye kioo). Uwezo wa Battery: Inakaa na chaji vizuri sana na inasapoti fast charging. Inamfaa Nani? Inamfaa mtu anayependa vitu vya kipekee (Unique), wafanyabiashara wanaohitaji kufungua apps mbili kwa wakati mmoja, na wapenzi wa picha/video kutokana na mfumo wake wa Gimbal Camera.Discover More
Explore offers from related items, similar categories and featured sellers.
Want to see more?
Explore offers from similar categories.