LG Wing 5G (256GB/8GB RAM) - Swivel Screen

TZS 0

Likoma/Aggrey Substation
2d
955 Views

Contact Seller

This account has average rating
M
MUDY TECH
Joined Tue Jun 02 2026
1.82

Details

Brand

LG

Model

Wing 5G

Storage Capacity

256

RAM Size

8

Condition

Used - Like New

Main Camera Resolution

64

Included Accessories

Full Box

Region

Dar es Salaam

District

Ilala

Description

LG Wing, toleo la kipekee kabisa kutoka kwa kampuni ya LG. Hii siyo simu ya kawaida; ni simu ya kijanja inayobadilika na kuwa na vioo viwili (Swivel Screen) kwa ajili ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Maelezo ya Simu: Model: LG Wing 5G Storage: Gb 256 / Ram Gb 8 Hali: Ipo kwenye hali nzuri sana (Full Box na kila kitu chake). Kamera: Kamera tatu za nyuma (64MP) na kamera ya mbele ya mtindo wa Pop-up (haijai kwenye kioo). Uwezo wa Battery: Inakaa na chaji vizuri sana na inasapoti fast charging. Inamfaa Nani? Inamfaa mtu anayependa vitu vya kipekee (Unique), wafanyabiashara wanaohitaji kufungua apps mbili kwa wakati mmoja, na wapenzi wa picha/video kutokana na mfumo wake wa Gimbal Camera.

Discover More

Explore offers from related items, similar categories and featured sellers.

Want to see more?

Explore offers from similar categories.

Unlock the full experience

Upload your own ads, get a faster experience, personalized recommendations and more...
Download now!

Google Play
Apple App Store